Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
Kuna anayesalimiwa bwana, we ni OTHERS, u r nothing
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na ikitokea ukawa busy kidogo hukumsalimia basi siku itapita mpaka umuanze tena.Nimechoshwa na hii tabia,nifanyeje?
jibu ni kwenye red tu hapo..................FULL STOP.Labda ndivyo alivyo....
Labda kuna mwingine....
Labda she is not into you...
Ongea nae!!!
usijali, penzi unaanza wewe, wengine wanamalizia
Usimuwazie vibaya mpenzi wako, jitahidi kumpa salaam usichoke.
Muombe mungu amrudishie upendo kama wa mwanzo.
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na ikitokea ukawa busy kidogo hukumsalimia basi siku itapita mpaka umuanze tena.Nimechoshwa na hii tabia,nifanyeje?
Nimeshamuuliza anasema kila siku kuwa na yeye alikuwa busy au nilimuwahi kidogo tu angenianza yeye