Mpaka hamu imekata baada ya kuona kodi mpya ya makato kwenye miamala ya fedha

Mpaka hamu imekata baada ya kuona kodi mpya ya makato kwenye miamala ya fedha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu leo asubuhi nilikuwa na hamu na zaga sasa nikamcheki mtoto akasema jioni jioni atakuja.

Si ndio kuja kuingia JF kukutana na mastori ya town eti Kodi ya uzalendo aisee roho ikapasuka nahisi nimepata pressure ya kushuka lengo lao sio zuri hakuna Tena matumaini.

Biashara zitazidi kuyumba ajira sidhani kama watatoa na kwa sababu wabongo wanapenda kick kwa mambo nonsense basi watatu diverge kwenye ishu nyingine.

Basi yaani hapa nilipo tumbo limelegea hata papuchi sina arosto nayo Tena sitaki hata huyo mwanamke aje.
 
Back
Top Bottom