Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 23
Wanajamii,
Pamoja na kudhulumiwa viti vyetu vingi vya uwakilishi wa kweli wa wananchi (CHADEMA) bado mpaka sasa kuna matokeo ya viti 64 ambayo hayajajulikana. Vipi katika hayo majimbo yaliobakia nguvu yetu (CHADEMA) ya kushinda bado ipo? au bado CCM wanaendelea na uchakachuzi? :thinking::deadhorse: Manake naona hawa jamaa wanatufanya kama kondoo vile sasa...!
Washindi mbalimbali wa uwakilishi Serikalini 2010-2015 -
kiukweli hayo majimbo kwenda upinzani ni %0.0000001
wameshachakachua vya kutosha na JK watakuwa wamempa kura nyingi bila soni huku wakisahau kuwa watanzania sio mawe ambayo yapo tu hata ukiligonga haliongei,wanatudharau sana ,wanatuona ss ni watoto wadogo,wanacheza na mind zetu wanafikiri kuwa sisi ni ile product yao ya shule za kata .