William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Wapo walioajiriwa humu mtandaoni kazi yao kujua nani kazungumza nini na wamjibuje? Hao ni kundi la kwanza. Wale ambao hawaoni umuhimu wa kutafuta hoja mtandaoni bali kutafuta nani kaandika nini nao hawatakosekana.
Endeleeni kutuchunguza tu!!!
Mliotumwa; Pelekeni habari zetu kwa mabwana zenu waliowatuma!!!!!!!!!
Mlikuja kushangaa: endeleeni kushangaa mpaka mchoke!!!!!!!!!!!!!
Kuhama kwa hii topic hakubadili anything, msimamo ni ule ule tu, kama ni vitisho aulizwe aliyeanzisha topic, mimi msimamo wangu very clear, ukicheza nitakuchezea tu, hatishwi mtu hapa,
Vitisho uache wewe mkuu, naona umeshukuru imahama labda next time utajifunza tabia za kurukia watu usiowajua, bila kuwa na ukweli. Lakini eti mimi nitatishika na wewe hata siku moja! Ninashukuru tu kuwa nimekuelewa mapema rangi zako, ndio imetoka hiyo salaam zao! Maana sisi binadamu wengine huwa tunajifunza mara moja tu hatusubiri mara mbili.
Es Sauti Ya Umeme
Mtu ukishambuliwa bila makosa ni wajibu kujibu mapigo, sasa kinachoamua ni hoja na ukweli tu,
In the process tumeihakikishia forum kuwa sio lazima kuwa na majina mengi kwa hoja ya mtu hapa kuonekana ilipo, kinachotakiwa ni ukweli tu ambao siku zote ndio tunausimamia.