Mpaka muda huu watoto wawili washavaa bado wawili ila kibano nilichopigwa leo kule karkoo madukano

Kwa huo uhuni wako nadhani hata hapa jukwaani unaweza anzisha mada ambayo utatunga ili mradi upate changizo la pesa toka kwa wadau wa humu. Hebu badili tabia yako utakufa kabla ya wakati wako na ukaacha familia iteseke....hebu ridhika na ulicho nacho usipende kujikweza watoto waone baba ni malaika hawezi kosa kitu!!!
 
Nimekusoma mkuu ila siwezi kuchangisha hapa
 
umeandika nini sasa mrs bashite himself? full kukurupuka

Alosto mkubwa wewe, ungekuwa unajua maisha yalivyo husingeandika upupwum kumbe ndivyo ulivyo duh, pita huko njia zetu sio sawa kabisa. Duh shaaaaaaaaaaaaa kaa nao huko huko....
 
Alosto mkubwa wewe, ungekuwa unajua maisha yalivyo husingeandika upupwum kumbe ndivyo ulivyo duh, pita huko njia zetu sio sawa kabisa. Duh shaaaaaaaaaaaaa kaa nao huko huko....
panic at your own risk mr madam! eti unavaa designer! koromije kuna designer gani kwa mfano! get well soon
 
Umepigwa hizo nguvu za kuingia humu umezipataje? Simu ilinusurikaje?
 
mtoto wa chini ya miaka mitano anajua nguo mpya au ya zamani?

lazima kuwanunulia siku ya sikukuu?

lazima muende kkoo?


Hata ambae hana mwaka anaijua mpya na ya zamani ikoje
 
Nawashukuru wazazi wangu toka tukiwa wadogo sana hawatukuzoesha tabia ya kutununulia nguo kipindi cha sikukuu bali walikuwa wanatununulia kipindi cha kawaida tu,so kwa kufanya hivyo ilitujengea kwenye fikra kuwa kununuliwa nguo sio kipindi cha sikukuu tu.Na mimi watoto wangu wawili nimewazoesha hivyohivyo kwa hiyo kipindi cha sikukuu sipati shida kabisa.Naweza nikanunua nguo baada au hata kabla ya sikukuu.

Mwana umleavyo,ndivyo akuavyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…