Mpaka Nimalize Form 4 ndo nitakupa......

Biohazard

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
2,197
Reaction score
1,465
Duh...! Ama kweli nilipata tabu sana enzi zangu za kubalehe yani wanafanzi wenzangu wa O-level wengi wao nikiwa approach walikua wananikubali, sekeseke linakua kwenye uroda ambao ahadi zao zilikua MPAKA nimalize FORM 4 Aisee...! kweli nilipata tabu sana.

Ckuishia hapo hata Form six napo walikuwepo wengine walidai mpaka wamalize chuo kikuu na wengine mpaka form six pia wengine walikua hawana shida.

Brothers & Sisters em tukumbushane jinsi mlivyokua mnajihami au hiyo ilikua inanikuta peke yangu brothers.?

Share ur Teenage experience here.
 
hukupata message...mademu walikua hawakupendi..mbona wengine form 1 walikua wanapewa
 
nakumbuka mama yangu kila mara alikuwa anatuambia sisi bado wadogo, kwa hiyo kila mkaka nilikuwa namwambia "mimi bado mdogo".................
wengine wakifikwa shingoni wananicharua............ "UZEE wote huo unajiita mtoto; unafikiri kuna kengele ya kukushtua umekua?"
 
Sasa maana ya kukubali ni nini?
 

watu wana manenooooo!!
 
Mshukuru Mungu kuwa enzi zenu UKIMWI ulikuwa haujashika kasi, ungefanya hayo ya kuvua sketi hii na ile enzi hizi, sasa hivi ungekuwa unashiriki JF kutokea mavumbini.
 
Duu nilipata tabu sana lakini huwezi jua Mungu alikua ananinusuru na nn
 
Mshukuru Mungu kuwa enzi zenu UKIMWI ulikuwa haujashika kasi, ungefanya hayo ya kuvua sketi hii na ile enzi hizi, sasa hivi ungekuwa unashiriki JF kutokea mavumbini.

Ashukuruwe Mungu
 
wengine huwa hatutongozi ni vitendo tu
 
Jibu lao mara nyingi lilikuwa..'baba/mama hapendi'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…