Mpaka Nimalize Form 4 ndo nitakupa......

Hata mimi hiyo ilinikuta nikiwa form six kuna binti namkumbuka hadinleo aliniambia atanikubalia akimaliza form six
 
Me niliambiwa mpaka tufahulu mtihani
 
haukuwa na convincing power ndio maana walikuwa wanakutema. Elimum ya secondary ilikuwa inatosha kukuweza kula vichwa bila tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…