Mpaka rangi apigwa mpaka mkono kuvunjika...!

Skillionare

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
1,190
Reaction score
526
Wakuu katika mazingira ya kutisha mpaka rangi kina mama majumbani amepigwa na mume wa mpakwaji baada ya mume aliyekuwa amepumzika ndani kuspoti mkewe akioshwaa mapaja na miguu ili kupakwa rangi kama si huyu mama kupiga yowe kijana angekufa,imetokea eneo La baraza la mitihani,mbezi beach makonde.
 
wakome kushikashika mapaja ya wake za watu madai yake eti unataka kumpaka rangi!
 
wakome kushikashika mapaja ya wake za watu madai yake eti unataka kumpaka rangi!
anatisha sana kapigwa na mambao kwenye mikono mwenyekiti wa mtaa imebidi aripoti polisi.
 
Ingetakiwa itokee hapa A

town kwn wamezidi sana!

Halafu wengi wao ni wafupi sana.
 
wakome kushikashika mapaja ya wake za watu madai yake eti unataka kumpaka rangi!


wakome kwani mnalazimishwa?
si wapo wadada wa saloon kwa kazi hizo?
mbona mnawatafuta wakaka?

wamama huwa wanawashwa wenyewe......kumpiga huyu mtu ni uonevu...
 
Huyo mwanamme nae wivu wake hauna maana, kwani mpaka rangi tangu anaanza kuingia ndani ya nyumba hakujua Kama ni mwanamme? angefanya mwenyewe asingeshikiwa mkewe mapaja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…