Mpaka Sasa hakuna Katuni ya kufurahisha Kama Tom na Jerry

Katuni ingine ilikuwa ni Courage
Fredy quimby ndio yule mbabu mbabu ambae picha zake naziona uko juu
Hamna huyo juu ni Genie Ditch, edition zake sio nzuri sana hazina mvuto kama originals za Fred Quimby na William Hannah and Barbera
 
Mm ile ya Kenya "Wabunge wa Tz wana kojoa mjengoni"
 
Kama unataka ujumbe kaangalie Ubongo Kids.
Ujumbe mwingine upo kwa mjumbe wake wa nyumba 10
Kama unataka ujumbe kaangalie Ubongo Kids.
Kuna kipindi unaiburudisha akili tu, jitu likikuona umeweka status ya masihara linaanza kuleta ujinga, mmoja nikamwambia, mzee userious peleka kwenye vikao vyenu vya kifamilia😂
 
Ujumbe mwingine upo kwa mjumbe wake wa nyumba 10

Kuna kipindi unaiburudisha akili tu, jitu likikuona umeweka status ya masihara linaanza kuleta ujinga, mmoja nikamwambia, mzee userious peleka kwenye vikao vyenu vya kifamilia😂
Ndio maana wakasema, don't take life too serious, it's not permanent.
 
Tom n Jerry noma sana.

Kuna hizi za

The sylvester and tweety

Road runner
 
Haraka haraka majina ya William hanna, fred quimby na nani sijui barbera yamekuja kichwani nilikuwa si rahisi kutoka kwenye tv, hivi bado production inaendelea?
Joseph Barbera. Hawa pamoja na Gene Deitch ndio walikuwa animators wa hiyo makitu.
 
Naamini unazungumzia original Tom and Jerry, sio zile zilizokuja baadaye ambazo walikuwa wanaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…