Mpaka sasa hatujajua kama miongoni mwa waliokufa ni crew ya ndege ama la

Mpaka sasa hatujajua kama miongoni mwa waliokufa ni crew ya ndege ama la

Tuache lawama zisizo za msingi. Taarifa imetolewa kwamba Marubani wote Capt na 1st officer wamefariki,

cabin crew attendant wawili walikimbizwa hospital, majina ya majeruhi yametolewa, majina ya waliofariki yametolewa, lawama inatoka wapi hapo?

Being outdated kwa taarifa isikufanye kuanza kulaumu.

Search information usisubiri information ikufuate!
 
Mimi sidhani kam kuna watu walitoka mule ndani kwa akili yangu me naona kabisa watu hawajafa maji pale ndani Ila wamekufa kwa kukosa hewa.

Jana mkuu wa mkoa alisema alikua kiwasiliana na rubani lkn badae ikasemekana tena yule rubani ameshafariki kwa sabb Ile ndege ilidondoka mbele na ilikita kweny matope ina maan asilimia kubwa ya mwili wa ndege ilikua ndani.

Hao waiokolewa waliokolewa sa ngapi kuna watu watalipwa uongo kusema hili. Serikali yetu mhhhhh
 
Mim sidhani kam kuna watu walitoka mule ndani kwa akili yangu...
IMG-20221107-WA0020.jpg
 
Mim sidhani kam kuna watu walitoka mule ndani kwa akili yangu me naona kabisa watu hawajafa maji pale ndani Ila wamekufa kwa kukosa hewa.
Jana mkuu wa mkoa alisema alikua kiwasiliana na rubani lkn badae ikasemekana tena yule rubani ameshafariki kwa sabb Ile ndege ilidondoka mbele na ilikita kweny matope ina maan asilimia kubwa ya mwili wa ndege ilikua ndani.

Hao waiokolewa waliokolewa sa ngapi kuna watu watalipwa uongo kusema hili. Serikali yetu mhhhhh
Wapo waliopona Mimi Nina Jamaa nawafahamu kwa sura na majina wa hapo mtaani naishi
 
Marubani walikuwa hai na walihakikisha wanafungua emergency door ili abiria watolewe nje na waliendelea kuomba msaada kwa njia ya radio ila serikali katili ya CCM haikuwasaidia hadi wakafa maji.
 
Wapo waliopona Mimi Nina Jamaa nawafahamu kwa sura na majina wa hapo mtaani naishi
Sawa pia,

Nasikia kulikua na mtoto mchanga hapo ndani yeye na mama ake waliweza kutoka wakiwa hai?!
 
Very sad. Maono katika taifa hili ni janga kubwa. Masaa zaidi ya 24 hatujui Kama marubani waliokolewa ama la.

Taarifa tunaambiwa tusubiri itatolewa lini na nani anaiandaa taarifa hiyo.

Kwa uhalisia tu PM Hana janja kweli hili inabidi atupishe.
Utamteua nani?
 
Very sad. Maono katika taifa hili ni janga kubwa. Masaa zaidi ya 24 hatujui Kama marubani waliokolewa ama la.

Taarifa tunaambiwa tusubiri itatolewa lini na nani anaiandaa taarifa hiyo.

Kwa uhalisia tu PM Hana janja kweli hili inabidi atupishe.
Ndio unaamka?


NDEGE YA PRECISION YASHINDWA KUTUA UWANJANI BUKOBA NA KUTUA ZIWANI

TAREHE 06/11/2022 MAJIRA YA SAA 2:27ASUBUHI NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA PRECISION AIR YENYE USAJILI NAMBA 5H-PWF ILIYOKUWA IKITOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA MWANZA KUPITIA BUKOBA ILISHINDWA KUTUA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE BUKOBA NA KUTUA ZIWANI MITA CHACHE KABLA YA KUTUA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE BUKOBA.

2. NDEGE HIYO ILIKUWA NA JUMLA YA ABIRIA KWENYE NDEGE NI 39 NA WAHUDUMU WA NDEGE 4 HIVYO KULINGANA NA MANFEST JUMLA YA WATU NI 43,

3. TAARIFA ZA AWALI ZINAELEZA CHANZO KUWA NI HALI MBAYA YA HEWA HASA HASA UPEPO NDO ULIOSABABISHA RUBANI ASHINDWE KUTUA KATIKA UWANJA NA KUTUA MITA TAKRIBANI 100 NDANI YA MAJI KUTOKA ZIWANI.

4. ZOEZI LA UOKOAJI LIMEENDESHWA KWA USHIRIKIANO WA PAMOJA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA MKOA, NA JIONI MH WAZIRI MKUU ALISHIRIKI PAMOJA NA MH WAZIRI WA UJENZI MAWASILIANO NA UCHUKUZI MH MBARAWA PIA.

5. LAKINI WAKATI WA UOKOZI IMEBAINIKA KUWA KULIKUWA JUMLA YA ABIRIA 41 NA WAHUDUMU 4 JUMLA WALIOKUWEPO KWENYE NDEGE NI WATU 45 AMBAPO JUMLA YA WATU 19 WAMEFARIKI DUNIA WAKIWEPO RUBANI NA MSAIDIZI WAKE. AIDHA WALIOOKOLEWA NI WATU 26 WAMEOKOLEWA, KATI YAO MMOJA BAADA YA KUOKOLEWA ALIKIMBIA NA HAJULIKANI ALIKOKWENDA.

6. ORODHA YA WALIOOKOLEWA WAKIWA HAI NI KAMA IFUATAVYO:-

WALIOLETWA HOSPITALI

1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM
2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA
3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE
4. DR FELIX OTIENO 37YRS-JALUO-MKRISTO -BUNDA-0765779548

6. SHAMIRU ISMAIL BKB 34YRS- ITAWA-MUHAYA-DAKTARI-0753527776

6. PROTAS MUSSA - 38YRS NGARA
7. AMOS SKOTH 38YRS MWANZA
8. GRACE RUGAMBWA - 67YRS NYAKANYASI BUKOBA -MUHSYA-MUUGUZI MSTAAFU-MKRISTO-0755016680

9. AMINA ABDALLAH KARWANDIRA 62YRS BUKOBA NYAKANYASI- MUHAYA -MUISLAM- MAMA WA NYUMBANI- 0628 749070

10. REVINA THEONEST RUTINDA 29YRS-KAGERA SUGAR-PROCCESSING ENGINEER-MUHAYA-MKRISTO- 0754588634 HOME GEITA(MWMA WA EMILI).

12. EMILI VICTOR MWESIGA 1.3 YRS -MUHAYA-KAGERA SUGAR

14. JESCA JULIUS TITUS 27YRS DSM - MUHA - MKRISTO PENTECOSTAL -NESI BY PROFESSIONAL. 0753953702
15. ZANGLIN 30YRS DSM (MCHINA)-CIVIL ENGINEER-0788453998

14. RICHARD KOMBA 42yrs-MMATENGO-MKURUGEBZI KAGERA TEA COMPANY MARUKU- 0756902081

15. EMMANUEL AMANI 28yrs MWANZA
16. NIKSON JACKSON KAWICHE 35YRS from DSM-ADITOR MDH-MCHAGA-MKRISTO-0742361210/071389942

17. SALEH OMARY 46YRS - MLIGURU-0789530136-SONARA-KIPAWA KARAKATA-
18. EDWIN BITEGEKO 33YRS DSM BANKER CRDB HQ TABATA-MUHAYA-MKRISTO-0755920587/0719124576

19. EVA DICKSON MCHARO 38YRS SENGEREMA MWANZA-MPARE-MKRISTO-PCCB SENGEREMA-0766847175

21. JOSEPHINE JOSEPH MWAKISAMBWA 34YRS MBEYA ANAISHI DAR-DKT-MKRISTO-MNYAKYUKYUSA-0762415551

21. THEODORA STANSLAYS MPESHA 46yrs ANAISHI DSM-MWASIBU DSM-MKRISTO-MUHAYA-0754841044

22. JOSEPH LAURENCE MBAGO 57YRS BOT ANAISHI DSM-MKRISTO-MBONDEI

WAHUDUMU

1. BRENDA SELVULI TEMBA 23YRS DSM-MCHAGA-MKRISTO-0686929264-AIR HOSTRESS PRECISION

2. LYDIA IBRAHIM RAMADHAN- 25YRS-MDIGO-MKRISTO- DSM AIR HOSTRESS PRECISION-0717800570

NB. WANAUME 16, WANAWAKE 9 NA MTOTO 1(ME)

7. MAJINA YA WALIOFARIKI DUNIA.

1. ATULINDE BITEYA
2. ANETH BITEYA
3. NEEMA FARAJA
4. HANIFA HAMZA
5.ANETH KAAYA
6.VICTOR LAUREAN
7. SAID MALAT LYANGANA
8.IMAN PAUL
9. FARAJI YUSUPH
10.LIN ZHANG
11.SAULI EPIMARK
12.ZACHARIA MLACHA
13.EUNICE NDIRANGU
14.MTANI NJEGERE
15. ZAITUNI SHILLAH
16.DR. ALICE SIMWINGA

17. BURUANI LUBAGA - RUBANI
18.PETER ODHIAMBO - FIRST OFFICER.
19.

8. AIDHA ATHARI NYINGINE ZILIZOTOKANA NA AJALI HIYO NI BAADHI YA SAFARI KUAHIRISHWA AMBAPO NDEGE YA ATCL ILIYOPOSWA KWENDA BUKOBA LEO ILIAHIRISHWA KUTOKANA NA KIWANJA KUFUNGWA HIVYO ABIRIA WAKE KUPELEKWA HOTELINI HADI HAPO KESHO, AIDHA ABIRIA WALIOPASWA KUSAFIRI KWA NDEGE YA PRECISION AIR KUELEKEA DAR ES SALAAM WAMESAFIRISHWA KWA NDEGE YA ATCL NA WENGINE WAMESAFIRISHWA KWA NDEGE YA PRECISION AIR KUELEKEA DAR ES SALAAM KUPITIA KILIMANJARO

9. TIMU YA UCHUNGUZI WA AJALI ZA NDEGE KUTOKA TCAA IMESHAFIKA BUKOBA TAYARI KWA UCHUNGUZI.

TAARIFA KAMILI ITAFUATA

C&P
 
Marubani walikuwa hai na walihakikisha wanafungua emergency door ili abiria watolewe nje na waliendelea kuomba msaada kwa njia ya radio ila serikali katili ya CCM haikuwasaidia hadi wakafa maji.
Emergency door imefunguliwa kwa nje
 
Back
Top Bottom