Elections 2010 Mpaka sasa Hivi ni BilaBila!

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Hatimaye kile watanzania walichokua wanakisubiri kuhusu ule mchakato wa kupata jina teule la waziri mkuu ni kitendawili! Jina limechelewa kutolewa kutoka ikulu, kwahiyo watanzania tuwe na subira ifikapo hapo saa 11 leo jioni.
 
Tatizo jamaa anatatizika katikati ya Interest za wananchi na wale waliomsaidia kuchakachua....safari hii analo na utata huu utamtafuna mpaka sekunde ya mwisho ikulu :hippie:
 
Mwizi wa kura Kikwete anatafuta wezi wenzie ili awape uwaziri mkuu.
 
Hajapata approval ya Sheikh Yahaya. Sheikh alipelekewa jina lakini nyota ya huyo mheshimiwa ikawa haionekani vizuri kwa hiyo akashauriwa asubiri jioni jua likikaribia kutua ndo atatoa approval. Watanzania tunaomba mwendelee kuwa watulivu wakati kamati ya ufundi inashughukia hili suala
 
Duh!!! Na jina la waziri mkuu pia wanalichakachua
 
Why saa 11?

Chakachua imekuwa ngumu!!!! Kutoa jina mapema kutatoa nafasi ya watu kujadili mengi ila kwa muda huo ghafla mtaenda kulala na kesho mjadala utakuwa umefikia kikomo!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…