Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

kwa uandishi huu yupo sahihi, kuwa mwanaume bro acha kulialia
 
=Why she doesn't care,

kwani lazima utumie lugha usiyoijuwa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Pole sana Mkuu, hali ni tete...Ni kabila gani huyo? Kama Mpare basi kama hulka vile
 
Tangu unaingia nae kwenye mahusiano alikuwa hivyo hivyo au ameonesha baada ya muda fulani? Ni jibu hili swali kwanza
 
Hiki kiingereza Sasa!!!
 
Kwa kingereza hiki lazima upigwe chini

She don't care= she doesn't care
She turn me into play boy soon as possible... = She turned me into a....
 



Frequency haziendani yeye ame tune 88.5 wewe ume tune 88.9

Chakufanya cheza na frequency zake hadi utampata

Then jaribu kujua time zone yake sio kila muda utampata mtu na kuongea mambo ya kumvutia au kuendana na akili yake.

Peoples are statics by nature you need to be dynamic as to match with them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…