Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Wakati vyama vingine vya kisiasa viko usingizini na vingine vikibabaika na mjadala wa kuunganisha nguvu ama laa, Chama Cha Mapinduzi CCM tayari kimeshakamilisha maandalizi muhimu ya ndani kuhusu uchaguzi huo wa oct.2025.
Ni suala la muda tu wa kisheria na kikatiba ndio unasubiriwa.
Na hii ni ishara ya wazi na maandalizi kabambe ya ushindi wa kishindo mathalani kwenye nafasi ya urais, ambayo tayari mgombea urais Dr.Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake Dr.Emmanuel Nchimbi, wanafahamika kwa waTanzania wote, wanakubalika na kuaminika kwa wananchi kuliko mwanasiasa yeyote nchini Tanzania.
Kwa kwa uzoefu wako katika siasa za Tanzania, na kwa kuzingatia hali ya siasa na kukubalika kwa wagombea hao makini wa chama tawala, unadhani CCM inaweza kupata ushindi wa chini ya 90% kweli kwenye uchaguzi wa Oct 2025?🐒
Mungu Ibariki Tanzania