Ushauri ni huu sema ndio hivyo wanaona aibu na aibu ndio inawafikisha hapa kwenye kutafuta hela hakuna aibuMkuu Ingia mtaani bila kujali chochote, mi nilishawahi fanya kazi ambayo hata sijawahi kuwaza hiyo yote ilikuwa tu nijikipi bize na maisha huku mzazi wangu akiwa anafanya kazi state. Sikujali kuhusu hilo.
Maisha ya kibongo sio vile kama unavyofikiri, bali ni kujisacrifice.
Ukweli ni kuwa hakuna ajira Ingia mtaani fanya chochote halali kujipatia riski
Cheti weka pembeni mzee
Mkuu pikipiki zina risk sana, mtoe huko unampoteza hela yenyewe anayo hiyohiyoFanya hivi haraka Kama bado unayo million 2 hyo kanunue pkpk haraka hutojutia sababu utakua na kipato Cha elfu 15 kwa SKU uhakika hapo,
Nashukuru
Mkuu wa kuanzia ili asiwe na stress Bora aanzie huko wakati anatafuta ajira nyingine maana akikaa na hiyo ml 2 muda mfupi Sana itakata na biashara za uchuuzi wa vtu itapotea yote Bora anunue pkpk mtaji uwe mafuta tu, atakuwa hakosi angalau 15Mkuu pikipiki zina risk sana mtoe uko unampoteza hela yenyewe anayo hiyohiyo
Na ikiibiwa je atafanya niniMkuu wa kuanzia ili asiwe na stress Bora aanzie huko wakat anatafuta ajira nyingine maana akikaa na hyo ml 2 muda mfup Sana itakata na biashara za uchuuz wa vtu itapotea yote Bora anunue pkpk mtaji uwe mafuta tu, atakuwa hakosi angalau 15
Kuibiwa Ni Kama kufa hujui Ni lini na je vp akila hela ikaisha bila kuzalisha? Cha msingi hapo apge kazi kuanzia asubuh mpaka jion usku asifanye kazi mkuu kila kazi inachangamoto kikubwa umakiniNa ikiibiwa je atafanya nini
Atalipwa na insuranceNa ikiibiwa je atafanya nini
Ni jambo la kawaida sana, na changamoto kwa mwanadam ni kawaida. Ila niliitaji nikishauri. Kwanza usijaribu kuweka mtaji wako kwenye maswala yanayoitaji mda ili kupanuka mfano maswala ya mitandao, yaan tigo pesa mpesa n.k pia usijaribu kufungua duka lolote kiufupi usifanye biashara ambayo inaitaji mda zaid ya miez mitatu au sita huku ukiwa unasubir ichanganye. Sasa utafanya nn. Tenga kias kidogo kama laki nne. Tafuta mabada ya kukodi mfano ukienda maeneo ya kibamba kuna mabanda yanakodishwa kila msimu wa ufugaji unamlipa elfu hamsini tu. Au bunju maeneo ya mabwe kuna mabanda mengi sana,weka mabroila ya laki kama tatu utatumia kama laki mbili tu mpaka yanakomaa ukibahatika kupata soko utapanua mtaji na utapata pa kuanzia. Ukiitaji ushaur zaid nifate dm nitakusaidia mhanga mwenzangu
Nimefarijika sana kwa post hizi,vijana tusaidiane uwezo ukiwepo huwa naumia sana napoona post za graduates wakilia kufeli maisha.Pole sana mkuu.
Dar ndo nyumbani? Umepanga? Una utayari wa kufanya biashara? Kiasi cha pesa ulichonacho kinatosha kuanzisha biashara ndogo ndogo kadhaa na kuweza kukusukuma kimaisha? Ukiona inafaa tuwasiliane PM, naweza kujitolea kukupa skills za biashara flani ikakupush. Ukiwa na hata laki tano tu unaanza vizuri
Hawa ndio vijana wapuuzi wa CCM na uvccm wakila msoto hakuna kuwaonea huruma *****.Nimefarijika sana kwa post hizi,vijana tusaidiane uwezo ukiwepo huwa naumia sana napoona post za graduates wakilia kufeli maisha.
Pole sana mkuu shikamana na hawa jamaa japo kwa ushauri wa kimawazo tu unaweza kusogea ila kumbuka wema unaotendewa humu na wewe uulipe kwa wengine kama ikiwa ndani ya uwezo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli! You are misinformed my friend Shunie! Kwa vile pikipiki itakuwa ya kwake kipato chote kwa siku kitakuwa cha kwake. Akiwa na nidhamu ya kazi huko ndiko atapata mtaji wa biashara zingine! Kwa kuanzia siyo mbaya!Mkuu pikipiki zina risk sana mtoe uko unampoteza hela yenyewe anayo hiyohiyo
Yaani kwenye kazi unatanguliza kufeli? Sasa akifungua duka nalo likiibiwa je? Au likiungua moto? Akiogopa kuibiwa atakuwa hajafanya risk analysis vizuri!Na ikiibiwa je atafanya nini