Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mpaka sasa sijapata mwaliko wowote!.. dah mwaka mbaya sana huu.. na nyie wana jf au vyuma vimekaza??.. tukaribisheni nile cha mtume!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha mtume ndi kinini hicho?Mpaka sasa sijapata mwaliko wowote!.. dah mwaka mbaya sana huu.. na nyie wana jf au vyuma vimekaza??.. tukaribisheni nile cha mtume!
Mkuu njoo kiboshoMpaka sasa sijapata mwaliko wowote!.. dah mwaka mbaya sana huu.. na nyie wana jf au vyuma vimekaza??.. tukaribisheni nile cha mtume!
cha mtume ni cha mtume mkuuCha mtume ndi kinini hicho?
Duh mzeebaba mangi me niko dom.. dah nishakosa cha mtume hivyo!..Mkuu njoo kibosho
Wewe umemualika nani?Mpaka sasa sijapata mwaliko wowote!.. dah mwaka mbaya sana huu.. na nyie wana jf au vyuma vimekaza??.. tukaribisheni nile cha mtume!
ayaaa lazima viliwe vyote mzeebaba.. yaani mpishi na cha mtumeKula hata mpishi