Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu umofia kwenu.
Kwa sasa sote tunajua namna gani yanga imekuwa na wachezaji imara na ushindani mkubwa wa namba kiasi kwamba ukipewa nafasi tu unakaza kweli kweli
Well kutokana na falsafa ya Gamondi wafuatao wasipojichunga watakalia kuti kavu.
⭕️ KENNEDY MUSONDA
Huyu kwa sasa amekuwa na papara na mapepe sana mpaka kero, sehemu ya kufunga atalazimisha kutoa pasi, na sehemu ya kupiga pasi atalazimisha mbio kama mwizi .
Atulie unamtaka musonda yule wa msimu jana na juzi .
Nafasi yake kwa kiasi kikubwa itaamuliwa na ubora wa mzize ambaye anapiga winga zote mbili kwa uwezo mkubwa...
⭕️ KIBWANA SHOMARI.
Huyu kijana alianza vizur enzi za Nabi, bahati nzuri au mbaya philosophy ya Nabi ya kuamini vipaji na kuvikuza ndiyo ilimkuza kibwana uwezo wake na kina bacca ambao walikuwa benchi tu/mbao ndefu.
Bahati mbaya team ya sasa chini ya Gamondi ni tofauti sana.
Yeye anaamini kwenye ule msemo wa "form is temporary, class is permanent"
Ujio wa Yao kouassi ndiyo ulikuwa mwiba kwa kijana huyu, na hata majuzi alipewa namba hakuonesha utayar8 kabisa wa kucheza, mwili umeongezeka kilo, amekata tamaa.
Apambane chumba cha maboresho kipo Yao hawezi cheza NBC, Cafcl, na Fa zote plus mapinduzi cup..
⭕️ SURE BOY.
Kuna wakati maisha bila sure boy yanga yalikuwa magumu sana enzi za Nabi,
Sure boy aliamua pale kati yanga wacheze vipi kwa mwendo anaoutaka yeye, alikuwa lulu mechi yake murua kabisa dhidi ya club africain, oya 🔥.
Zama zimegeuka ujio wa mkude ukampoteza kabisa na sasa amekuja Abuya kumzika kabisa!
Mbaya zaidi na andambwile naye amekuja kufukia kabisa kati pale
Sure boy akaze sana akipata chance bado ana uwezo.
⭕️ JONAS MKUDE.
Namba yake imechukuliwa na andambwile akaze sana bado ana uwezo mkubwa.
⭕️FARID MUSSA
⭕️DENIS NKANE
⭕️JEAN BALEKE(moto wa Dube ni hatari 🔥)
⭕️SHEIKHAN HAMIS.
WALIOJIHAKIKISHIA NAMBA.
✅️CHADRACK BOKA/KIBABAGE
✅️AZIZ KI/CHAMA
✅️PACOME ZOUZOUA
✅️DUKE ABUYA/MUDATHIR YAHAYA
✅️YAO KOUASSI
✅️PRINCE DUBE
✅️CLEMENT MZIZE/BALEKE
✅️MDAKA MISHALE 🔥
✅️AUCHO/ANDAMBWILE
✅️JOB/MWAMNYETO
✅️ BACCA
KEY POINT..
⭕️= wamekalia kuti kavu
✅️= wamejihakikishia namba