Mpaka sasa wanatuona nyani

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ukisema ukweli wanakuona nyani.
Je ni kweli wanatuona nyani kabla tuja toa tamko sisi nyani
 
Kama wao walikaa kikao mwaka 1884/5 kuligawa Bara la Afrika leo hii mwaka 2023 Dodoma hakuna maji na tumezungukwa na mito mikubwa na Maziwa kwa nini wasituone nyani...tabia ya Nyani ni kwamba msimu wa mvua wanakaa vikao kuwa lazima wajenge hata ili wasinyeshewe ila mvua ikiisha vikao wala hilo wazo hakuna tena...

Huko Panama kina cha maji kimepungua nimeona wanatafuta chanzo kutoka mbali ili waweze kuyatunza maji wanapoyahitaji wayatumie kwenye Canal yao sisi kila mwaka tunatangaziana kuwa kina cha maji hapo Mtera kimepungua hatuna namna ingine tena ya kutatua tatizo kwa nini msiitwe manyani...

Wahuni hela za Kodi wanaiba na miradi harafu muda mwingine wanaiba hadi hela za kujengea shule za Watoto wao au Hospital iliyopo Mkoa wao hao watu si bora hata Manyani kabisa mwaka juzi pana watu waliiba vifaa vya Hospital hapo Manyara na kwenda kuuza hospital ya mtu Binafsi hawa si Chempazee kabisa au...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…