Mpaka uzeeni...

kwenye ukoo wetu huwa hatuzeeki kihivyo bana,at 60 huwa tunaonekana ni wa 40's! halafu Rejao kwa nini anatufuatilia sana mazungumzo yetu,kunani?
Mmmmh, itabidi unitambulishe kwa babu yako ili nipate ushahidi.

Muulize. . . .
Alafu mkichakachua hii thread kwa kutoka nje ya mada mnalo.
 
Mmmmh, itabidi unitambulishe kwa babu yako ili nipate ushahidi.

Muulize. . . .
Alafu mkichakachua hii thread kwa kutoka nje ya mada mnalo.
hivi thread ilikuwa inahusu nini vile?
 
Bado uko kwenye mada kwahiyo endelea. . . ila ukitoka nikipata nguvu ya kuREPORT ABUSE mtanichukia wenyewe.
turudi kwenye mada:
on my bended knee:
will you,Lizzy,take me Bishanga Abashaija,to be your lawful husband,love,honor and cherish me in hunger and plenty,in health and sickness,nikipigwa ban au bila ban,until death do put us apart?
Nimejiwekea muzzle ya bastola kichwani mwangu nasubiria jibu lako!
Should i pull or not pull?
 

PULL.
But please try not to leave a mess ehhhh.. .
 


hii imekaa ki europe zaidi..
kiafrika watu hujali zaidi watoto....
watoto ndo hutegemewa zaidi kusaidia wazazi wao watakapo zeeka...
 
Wote mliochangia kuhusiana na thread orijino sijadharau mawazo yenu, ntajibu zote zinazohitaji kujibiwa kichwa kikiacha kuniuma.
 
Wote mliochangia kuhusiana na thread orijino sijadharau mawazo yenu, ntajibu zote zinazohitaji kujibiwa kichwa kikiacha kuniuma.
ukimaliza ku respond post za wadau rudi kwenye mada yetu,bastola naiweka chini kwa muda.Ngoja nikamate henken moja.
 
hii imekaa ki europe zaidi..
kiafrika watu hujali zaidi watoto....
watoto ndo hutegemewa zaidi kusaidia wazazi wao watakapo zeeka...

The Boss hapo la kujiuliza bado hao watoto watawakuta baba yao na mama yao wakiwa pamoja
Au kila mmoja atakuwa kwake
Maana watoto malezi yao na makuzi ni uwepo wa wazazi wanaowajali
Sasa kama baba na mama washaachana zamani hizo unategemea nini mkuu
 


Lizzy na Ashadii mko right kabisaa...ni kweli asha wengi hudumu kutokana na second chance laki source ukiichunguza utagundua kuwa katika ujana ndoa nyingi huja kwa shinikizo fulani, either sex matters/domestic duties matokeo yake mtu akishakuwa fedup upendo unakuwa wamashakamashaka, but issue sio mafundisho ya ndoa, wala sio uaminifu, wala.... issue ni wapi umeupata msukumo wakuoa/kuolewa? Ule msingi.....wakuguswa na jambo hilo hadi kuwa victim... Maana ndoa za siku hiz zipo kifacts sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…