Iyo mipaka ni siasa tuu lakini nijuavyo mimi ilo ziwa the two countries zinashare ilo ziwa.
Upande ulio karibu na Tz,watz wanajimwaya kivya hasa wangoni,wanayasa na wananyakyusa maeneo ya itungi port,mbamba bay,matema beach n.k.
Na maeneo yaliyokaribu na malawi nao wanajimwaya kivyao hasa maeneo ya kalonga.
Cha kufuraisha ni kuwa wakazi wa karibu wa ilo ziwa ni watu of the same cultural background thats why kuna wanyasa wa tz na wa malawi and the same to wanyakyusa ambao wapo waishio Kalonga.
So life maeneo yale ni ya amani,and I have been in those areas just last year.