Mpambano kati VILLAGE LIFE na TOWN LIFE..!

Kijijini pesa haitumiki kabisa, 2013 nlipokua kijijini yani kwenye mshahara natoa elf 30 tu na kaa nayo ndani mwezi mzima, ila mjini eeehhh napumulia mashine

Ila mjini raha bana
 
Kijijini pesa haitumiki kabisa, 2013 nlipokua kijijini yani kwenye mshahara natoa elf 30 tu na kaa nayo ndani mwezi mzima, ila mjini eeehhh napumulia mashine

Ila mjini raha bana
kijijini kuna raha bhana mjini kuchunana tu
 
Town raha wewe.
1. Internet access full time ( unaweza ibia mpaka University promo).
2. Picnics na watoto wakali.
3. Kuna places kama kimboka, kona bar n.k..kahaba mzurrri afu wanajua cha kufanya. Bj, Doggy, cowgirl etc.. Kijijini washamba, position yao missionary tu. Teh
4. Town clubs, casinos. Muziki Muziki kweli. Mastaa hawa hapa
..Njia panda ya ulaya..Village hakuna hivi.
6. Town health services nje nje. Ma doctor kibao. Hadi Dr Mwaka.
8. Town ushirikina Mdogo sana... Vijijini hadi kusafiri huagi!
9. Mzunguko wa hela mkubwa town. Kijijini ukienda na noti Mpya watu wote wanakujua. Maana itazunguka wee kila mtu anashangaa.
10. Town Ubongo unakuwa active.. Watu wana challenge ideas. Kijijini ukifika Loh.. Hadi vitu vidogo tu hawajui. Mtu anauliza 'hivi hayo makontena ya magufuli yanafananaje'!? Hehe..
5. Town ukitaka unaenda swimming pool unafanya yako. Village maji Ya kuoga tu mnashea na wanyama
7.Town Rizla zipo. Village Makaratasi.
Town raha Bhana.
 
Mmmmmh kijijini kila kitu natural hakuna cha mchina
 
~Mjini kupata mke/mume wa mtu ni rahis tofaut na kijijini

~Mjini kama una pesa unaweza kula bata 24/7

~Mjini kila mtu baby

~Mjini unakula ukitakacho sio kilichopo kama kijijin

~Mjini kila kitu dili hata makopo ya maji.

~Mjini hakuna funza

~Mjini mpangaji akilala anakoroma kuliko mwenye nyumba.
 
Kijijini vigodoro (ngoma za usiku raha sana). Town kova na wenziwe wanaingilia.

Hakuna wabana pua/ mashaloballo sisi wote ni kazi tuuh..
 
Kijijini pesa haitumiki kabisa, 2013 nlipokua kijijini yani kwenye mshahara natoa elf 30 tu na kaa nayo ndani mwezi mzima, ila mjini eeehhh napumulia mashine

Ila mjini raha bana
Pesa Haitumiki!? Si Kijijini kwetu ukifika tu bass wanakijiji esp. ndugu wanaanza kupresent matatizo yao, wanashinda na wewe hapo kwako asbh-jioni... Gharama Tele.
 
Pesa Haitumiki!? Si Kijijini kwetu ukifika tu bass wanakijiji esp. ndugu wanaanza kupresent matatizo yao, wanashinda na wewe hapo kwako asbh-jioni... Gharama Tele.
Mi nlikokua nlikua naishi peke angu hakuna wa kuniomba hela, yani elf 30 mwezi mzima,
 
Wewe ujui unajua dating za kisimani???

Demu mpaka anaunguza chakula amebanwa na verse huku anagoa majani mdogo mdogo.
Madem wa buza nao washakua wajanja sio wale wa enzi hizo unamnyang'anya kanga au bangili zake unaenda nazo geto akizifata unambandua, mabadiliko yamewafikia
 
Tatizo kubwa LA kijijini ni mzunguko mdogo wa pesa hayo mengine ni mbwembwe tu!!
 
Madem wa buza nao washakua wajanja sio wale wa enzi hizo unamnyang'anya kanga au bangili zake unaenda nazo geto akizifata unambandua, mabadiliko yamewafikia
Aawapi jasiri aachi asili kuliwa kuko pale pale! Ukitoka town ni vita ya vimwana ukitua village na laki utakula mademu wote wa kijiji huku wakipewa 2000. Town mnataka mkahongwe 50000 mlalo mmoja tuuh..
 
Ndo ujue kuna tofauti ya mjini na kijijini mi nmekuambia kijijini buku 30 mwezi mzima mjini hiyo buku 30 hata siku moja haitoshi, umpe mtu buku mbili akanunue parachichi au unampa ya nini
 
Ndo ujue kuna tofauti ya mjini na kijijini mi nmekuambia kijijini buku 30 mwezi mzima mjini hiyo buku 30 hata siku moja haitoshi, umpe mtu buku mbili akanunue parachichi au unampa ya nini
Buku 2 anakula na kulewa kabisa km ni mlevi..! Parachichi, ndizi, mapera na matunda mengine hayauzwi kijijini kwetu..! Wengi huwa wananunulia mafuta ya rays&mamys yale ya mgando..! Au chupi za book.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…