Mpambano kati ya "wenye nchi" na "wananchi"

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Wenye nchi ni wasomi wana mipango wanaujua mwingi.
Wananchi wengi hawana elimu,wanakwenda kwa mkumbo tu,wana ujuaji mwingi wa maneno.Leo tunataka mpira uchezwe.

Wenye nchi wanafanya mazoezi kujiandaa na club bingwa Afrika. Wananchi hii ninyi ndio mechi ya kombe la ubingwa bara, ubingwa wa Afrika mashariki na ubingwa Afrika. Mkishinda leo mtaandikwa kwenye magazeti ya Afrika kusini. Ndiyo faraja yenu mwaka mzima.
Wenye nchi hatuna pressure ubingwa tayari tunao bado ule wa Afrika ndio lengo letu kwa sasa.

Hii mechi ni ya kuwatafutia kiki tu wananchi ili nao wa "trend".Wenye nchi tuko focused na mambo makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…