Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata waandishi wa habari wamefurahishwa na uhuru wa habari.Fuatilia jinsi Chief Odemba alivyomchachafya Tundu Lissu...
Odemba mchokozi sana. Anawasakizia polisi kwa mgongo wa maswali kwa Lissu.Fuatilia jinsi Chief Odemba alivyomchachafya Tundu Lissu...
Mlisema hivyo hivyo enzi za magufuli.....nimecheka sana😅😅😅Fuatilia jinsi Chief Odemba alivyomchachafya Tundu Lissu...
Hawezi kumchachafya Lissu! hana kiwango hicho kwa Lissu. kama Hard talk ilimshindwa, sembuse Odemba!Fuatilia jinsi Chief Odemba alivyomchachafya Tundu Lissu.
Pigo kubwa kwa walinda legacy!!Hata waandishi wa habari wamefurahishwa na uhuru wa habari.
Ubarikiwe sana Dkt Samia Suluhu