Mpambano wa masumbwi kati ya Chriss Brown na Soulja boy

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Nyota wa muziki nchini marekani De andre way AKA soulja boy hatimaye aamua kumchukua evender hollfield kuelekea mpambano wake na mwanamuziki ambaye pia aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada mwenye mvuto wa haja aiwatwae Robbin Fenty Rihanaa au Rihana , Chriss Brown

Hapo awali soulja boy alikuwa anafundishwa na the super hero unbeaten man ,boxer jini ,boxer mwenye hela zaidi dunian Floyd Mayweather lakin kutokana na ubize unaomwandama Floyd soulja boy ameamua kumchukua evender ili amnoe kuelekea pambano lake litakalopigwa mwezi machi mwaka huu na chriss brown anaenolewa na Mike Tyson

Haya sasa wapenzi wa masumbwi macho yetu kodo kuelekea hili pambano la kukata na shoka litakalo simamisha dunia kwa saa kadhaa

Twende kazi mdau karata yako unatupa kwa nani Chris au soulja boy?
 
Utoto huu, boxing sio ya machoko
 
Hawa jamaa wanataka attention na wameipata,hakuna pambano hapo!.Nawaza tu.
 
Wamelewa bangi tu hawana lolote.
 
ni biashara wenzio wanapiga hela wame sign..we unashoboka kama ni real hv..[emoji2]
 
hata kama ni biashara ila Soulja boy lazima amkalishe mtu.
 
Wanataka kupiga hela
 
Alaaa!!! Kumbe na huko pia wanatafutaga Kiki eeh!!
 
ni biashara wenzio wanapiga hela wame sign..we unashoboka kama ni real hv..[emoji2]
Kwani mapambano ya akina floyd mayweather,tyson , pacquiao, cheka huwa wana pigana bure??

Ile nayo si biashara kama biashara nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…