Mpanda, Katavi: Nyachia Kunju, anadaiwa kwamba hafuati Sheria za manunuzi kwenye Idara

Mpanda, Katavi: Nyachia Kunju, anadaiwa kwamba hafuati Sheria za manunuzi kwenye Idara

Inspector Abdala

New Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Naisaidia serikali ya awamu ya sita chini ya Mama Samia na Waziri Umy Mwalimu kama waziri wa TAMISEMI.

Inadaiwa Halmashauri ya Mpanda, kuna jamaa anaitwa NYACHIA KUNJU, huyo jamaa anaimiliki IDARA ya manunuzi hasa kwenye miradi iliyochini ya Idara ya Afya na Elimu. Anaamua nani apewe kazi nani asipewe kazi.

Nyachia Kunju inadaiwa anachukua rushwa kwa kila mzabuni akihaidi kazi hii na kazi ile. Tena anasema kabisa " sijaja kushangaa nimekuja kutafuta pesa hapa". Anazunguka na kukopa kwa wazabuni mbali mbali akihaidi kuwapa tenda.

Inadaiwa ilifika mahali akaamua kutengeneza biashara na kuisajili GPSA na kuiita KATYASHO na kutaka kujigawia zabuni zote. Bila taasisi flani kumshtua mkurugenzi wa Manispaa alikuwa anafanikiwa jaribio lake.

Inadaiwa Nyachia Kunju alijigawia kazi ya kuuzia chakula shuleni Mpanda Girls na Rungwa Secondary kinyume kabisa na maamuzi ya kikao cha tathimini ya zabuni.

Nyachia Kunju alikataliwa na DMO Dr. Mahenge (R.I.P)kusimamia zabuni zote zilizo chini ya idara ya Afya Mpanda Municipal.

Nyachia Kunju ni mfano wa watumishi wachache wa serikali ambao wanarudisha nyuma jitihada za serikali.

Naomba waziri wa Tamisemi dada Ummy Mwalimu na mkuu wa Mkoa wa Katavi mfuatilie swala la mtumishi wako huyu ili umchukulie hatua sahihi.

Inspector Abdala.
 
Mkurugenzi, mkuu wa wilaya & mkuu wa mkoa, mpo wapi hadi huyo jamaa Nyanchia Kunju anajimilikisha idara ya serikali?
 
Watu weusi ni wazuri kwenye ngono na fitna....kinachokutesa mtoa mada ni wivu na roho mbaya tu
 
Watu weusi ni wazuri kwenye ngono na fitna....kinachokutesa mtoa mada ni wivu na roho mbaya tu
Ukweli utasemwa tu. Wakae kimya wote ila ukweli ndio huu. Mfanyakazi wa serikali tena idara ya manunuzi anakuwa busy kuhakikisha anajipa zabuni. Hii sio sawa kabisa. Ni lazima ukweli usemwe na wahusika kama mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na mkurugenzi wachunguze kitu kama hiki ambacho kipo wazi. Nani asiyejua tabia ya Nyachia Kunju? Kuanzia watumishi wote wa manispaa mpaka taasisi zilizo chini ya manispaa ya Mpanda na wazabuni. Hii sio chuki ni ukweli
 
Back
Top Bottom