M Maswi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 932 Reaction score 211 Nov 4, 2010 #1 kuna mwenye matokeo ya mpanda kati ambapo makamu mwenyekiti wa CHADEMA anatetetea jimbo lake hilo au bado CCM wanachakachua au wamehairisha uchaguzi jimbo hilo? WANAJF naombeni majibu.
kuna mwenye matokeo ya mpanda kati ambapo makamu mwenyekiti wa CHADEMA anatetetea jimbo lake hilo au bado CCM wanachakachua au wamehairisha uchaguzi jimbo hilo? WANAJF naombeni majibu.
DICTATOR JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 391 Reaction score 4 Nov 4, 2010 #2 Uchaguzi uliahirishwa mkuu sababu masanduku yalichelewa kufika.
D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 256 Nov 4, 2010 #3 DICTATOR said: Uchaguzi uliahirishwa mkuu sababu masanduku yalichelewa kufika. Click to expand... Wajinga wanataka kulichukua hilo kama ilivyo Tarime. Wangeahirisha kwa siku moja na sio mpaka leo
DICTATOR said: Uchaguzi uliahirishwa mkuu sababu masanduku yalichelewa kufika. Click to expand... Wajinga wanataka kulichukua hilo kama ilivyo Tarime. Wangeahirisha kwa siku moja na sio mpaka leo