A
Anonymous
Guest
Nipo Mpanda mjini, Kata ya Shanwe, mtaa wa Kilimahewa. Kuna eneo kama kaya 40 au 50 zilirukwa na Umeme muda mrefu, na hili suala ni muda wananchi wamejaribu kulifuatilia, hadi engineer alishakuja ila hakuna mrejesho ni kalenda tu na hali tumezungukwa na umeme.
But inasemekana allocation za huu mradi zilishafanywa muda mrefu ila sasa hakuna kinachoendelea.
Wananchi wameachwa bila msaada kwa muda mrefu
Tutasaidikaje?
But inasemekana allocation za huu mradi zilishafanywa muda mrefu ila sasa hakuna kinachoendelea.
Wananchi wameachwa bila msaada kwa muda mrefu
Tutasaidikaje?