Mpanda: Tundu Lissu ayalipua Maridhiano, Kingai, Byakanwa na Wambura Watajwa

Huyo Lissu mpuuzi. Angeanza na Samia ambaye kashika nafasi ya juu kabisa. Asiwasumbue hao dagaa wakati anapishana na papa. Pengine hao anaowasema ndio wamemshauri papa mkuu afanye maridhiano.

Ina maana Lissu amesahau kauli ya mama Samia aliposema waliompiga sio askari wetu, askari wetu hawakosei.

Chadema mnaropoka mno. Mara Byakanwa.
 
Tundu Lissu ndiye mfaidika namba 1 wa maridhiano kati ya Serikali na upinzani. Isingekuwa maridhiano sasa hivi angekuwa bado yuko Belgium anasubiri posho za UNHCR.

HAKUNA maridhiano ambayo "mshindi huchukua yote" (winner takes all) bali maridhiano ni "nipe nikupe" (give and take)

Sasa mfaidika namba MOJA wa maridhiano anasema HOVYO, ni sawa na kujiweka kitanzi chake
 
Kama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
Wewe unataka ufanyiwe nini?
 
kwa ninavyojua, hakuna mtu chadema aliwahi kwenda kinyume na mbowe akasavaivu. soon atajikuta zitto mwingine.
 
Lisu hajui maana yq maridhiano akili zake kama katope, yeye hajui namnq alivyoichafua sana Tanzania, huyu bwege ashakuwa kichaa, yalopitq sindwele tugange yajayo huyu Chiba anq upopoma mwingi sana
 
Kama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
Hayo bilashaka,hunenwa wakati wa kampeni.
 
Kwa hisani yako kama itakuoendeza pandisha hapa video ili wengi tuweze sikiloza.
Asante
 
In the name of state 🤐
 
Maridhiano ni pamoja na kusahau yaliyopia! Lissu hawezi na hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi!

Maridhiano mazuri ni kuacha ya kale yapite ili ukurasa mpya uchukue hatua zake
 
Kama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
Akisema asichokipende kwenye serikari, tafsri yake angefanya kinyume chake.
Jitahidi uwe unaelewa upesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…