Mpangaji kama huyu unadili nae vipi?

Nunua Yale maspika yenye matangazo yanayojirudia ya kuuza sumu za panya unganisha kabisa na mziki wako wa ndani, Kila akiwepo unaweka hayo matangazo full blast unaenda zako mahali unatulia unaacha asikilize matangazo yanavyojirudia, Kuna spika za kichina hata wakizima main switch wakiwasha Ngoma inarudi ilipoishia



Usisahau kuleta mrejesho
 
Tatizo la wabongo hasa wale wa kutoka mashambani huko ni ulofa na ulimbukeni akija mjini akinunua ki subwoofer chake uchwara anajiona ni wa aina yake sasa anataka hadi nyumba za tatu huko wasikie.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!

Sauti kubwa kwa wengine ni kamzozo walai mi mwenyewe napenda mziki sauti kubwa basi majirani kuna muda nasikia kabisa wanavonsonya😏😏🤣!
Watakufinya...
 
Afanye yote hayo ili avumbue nini?
Acheni roho za ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…