Mpangaji mwenzangu ameninunia kisa siku hizi nimeacha kumtekenya

Ulikosea unge mla tuu,,,,sasa anakuona fala
 
We zuzu kweli kumbe huja
mgegeda
 
leta nambake nimwambie umeacha pombe kwa hiyo asitegemee mtekenyo tena. ukimwambia wewe hatakuelewa. nawajua vizuri sana hawa ndugu zetu. wanaitaji third party amuhakikishie ndo waelewe. the number please.
 
Endelea kumtekenya tu labda ndo starehe yake na isitoshe kumtekenya mtu sio lazima uwe umelewa
 
Mpotezee tu... tena kama vip leta mwanamke mwingine akae hapo geto cku mbili tatu...
Ndio ajue kuwa mazoea hutaki
 
Yeye alijua amepata mtu wa kutoa hela ya chakula gesi na kodi ya nyumba sasa umesanuka kwa nn asinune.Ukigonga tu ujue ndo umeoa
 
Wanaume wa Dar huwa mnanifurahisha san kwa visa na mikasa yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…