Client wetu ana omba ushauri jinsi ya kumuondoa mpagaji wake wa majengo yake ya hospitali, alisha wapa samasi ya miezi miwili kuondoka ila bado hawataki kuondoka na pesa hawalipi
Anaomba ushauri wa njia nyepesi ya kumuondoa kwasbb anataka kufanya hiyo biashara mwenyewe, wenye uzoefu wa kisheria wa hali kama hiyo tafadhali mpe ushauri aone jinsi ya kumuondoa isio kua na madhara makubwa.