Hapana sio hivo hao wameshindwa kulipa pesa za miezi sita kwasbabu jlijenga hospitali yao mahara pengine ila imeshindwa ku-pick.Dadeki kuna wenye nyumba,unakuta anakupangisha,unafungua biashara,ikishamiri anakuletea zengwe,kodi yako hataki na anataka uhame aifanye hiyohiyo biashara,baada ya kuona wewe unapiga pesa sana.
Anyway,kama ni kweli,waende hata serikalini,bilashaka kuna viongozi eneo walilopo.
Kufanya nini mkuu, hawataki kuondoa vifaa vyao ila kuachia majengo, ndo client anauliza afanye nini kuwaondoa bila madhara makubwa.Kuna kitu hapo sio Bure....majengo Yako ,mkataba umeisha mnasubiri nini Sasa?
In what? toa ushauri wako mkuu.All the best
In what, toa ushauri wako mkuu.
Pamoja na kuandika andika visredi vingi neno tafadhali linakushinda!Client wetu ana omba ushauri jinsi ya kumuondoa mpagaji wake wa majengo yake ya hospitali, alisha wapa samoni ya miezi miwili kuondoka ila bado hawataki kuondoka na pesa hawalipi
Anaomba ushauri wa njia nyepesi ya kumuondoa kwasbb anataka kufanya hiyo biashara mwenyewe, wenye uzoefu wa kisheria wa hali kama hiyo tafadhari mpe ushauri aone jinsi ya kumuondoa isio kua na madhara makubwa.
Hiyo aliikata sio option nzuri ita leta bad reputation kwa hospitali na jirani wataona kuna shida katika hilo eneo.In kuondoka mkuu.fanyeni fujo
Nadhani ni error ya kawaida sorry. ila naomba utoe ushauri wako, na wakika una uzoefu huo. huyu mteja wangu ni mshauri ipasavyo kwasbb ananunua hapa dawa karibia za 15m kwa mwaka kwahiyo ni client mzuri sitaki kumpoteza.Pamoja na kuandika andika visredi vingi neno tafadhali linakushinda!
Bila court order unaweza kufanya hivo?happens alot. afunge aje na walinzi. no services for a day. mambo yameisha
Yeye kwenye mkataba wa pango, unamruhusu kuendelea kutumia majengo hayo bila kulipia kwa kipindi gani?Bila court order unaweza kufanya hivo?
Mkataba uliweka awamu za kulipa nne na kiasi, ambazo hajalipia kama mkataba ulivo bainisha awamu ya mwisho hajalipa kabisa, na mkataba una muomba kama ataendelea aseme 12months prior, ambacho hakufanya pia.Yeye kwenye mkataba wa pango, unamruhusu kuendelea kutumia majengo hayo bila kulipia kwa kipindi gani?
Naona pia hawataki waendelee pale kwa sababu ni wa sumbufu katika malipo.O.k.
naona kuna mambo huyafaham
~ulisema ni mteja wako Mzuri
~na mwenye jengo anataka kufungua naye hospital kwenye jengo lake.
~pia mpangaji alijenga hospital pengine ikabuma
Kwa hiyo tajiri yako aache wivu na woga, huenda mpangaji wake anapitia changamoto...miezi 2 &6 ya kodi inavumilika.
baada ya hapo anaweza afuate hatua za kisheria kupata stahiki zake.