Uchaguzi 2020 Mpangieni Lissu mavazi kipindi cha Kampeni

Ogopa mpiga kura illiterate akija mkutanoni au akikuona kwenye Tv hapohapo anaku grade" Lissu mwenyewe ndio yule kavaa kama Lodi lofa simpigii tena kura"

Chadema itazame hawa wapiga kura wasio na makeke Kama kina mama na wazee . Act humble "

Awamu ya pili sera mavazi na matendo yalenge hayo makunidi ya kina mama na wazee ambao wanaonekana kujinasibu na CCM zaid
 
unataka tukamatwe kwa kukukumbusha juu ya mgombea wenu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Nimeona picha alizoweka ndugu yangu Kapwili moja ya suti ipo poa ,nyingine ya kanzu ipo sawa na Ile ya shati jeupe Kama la rais Kenyatta. Haya mavazi yapo vizuri.

Yapo yale.mavazi yetu yale na mikofia yetu Ile mie nashauri HAPANA. Mgombea atoke mazima Kama anakwenda ikulu. Avumilie Hali ya hewa.
 

Wapiga kura wako 29m+, nusu ya watanzania wote. Kuna mtu hana kadi ya mpiga kura? Au ni data za kupika? Kama hiyo idadi ni ya kupika, matokeo yatakuwaje halali?
 

Yaani umepatia kabisa, wanaccm wengi ni mazoba hivyo wakiambiwa hivyo wanakubali.
 
Noted. It is a minor issue. Tell CCM the same thing.
 
CCM ya Magufuli imeibuka na kofia za KIBEBERU! ... we ngoja tuu!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Uzi huu haujakamilika bila picha za vielelezo.
 
Huku kwetu, na mshauri avae suruali yenye zipu nyuma. Maana huku kwetu wengi wetu ni wavaa misuli.
 

Pole sana dada, umeandika kwa uchungu mno itakuwa walikubaka vibaya!
 
Mikutano ya CCM ndo inajaa wanafunzi na wahuni kwa ajili ya bongofleva, hatujasahau zile bangi na mitama pale Taifa!
 
Noted. It is a minor issue. Tell CCM the same thing.
Of course minor but it can be a competitive advantage over CCM candidate. Lissu ana faida ya kimuonekanano kuliko Magufuli anachopaswa ni ku maximize hiyo nafasi.
 
Kwa hiyo magufuli anahudhuriwa na wapiga kura zaidi kuliko wengine..maana uliowataja ndio wapiga kura
 
UPUUZI TUPU,hivi ni nchi gani inayoruhusu waasi kuwa na mgombea Urais???

Ubongo wa Mende 1 GB shida kweli. 🀣🀣🀣
 
Kwa tafiti zilizopo mtanzania akifika miaka 40 ndio mapenzi yake kwa CCM yanazidi kuimarika hivyo CCM ina uhakika wa kura kila Uchaguzi.
 
uchaguzi wa mwaka huu kila kona ni ushauri tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…