D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Msaada jamani jinsi ya kutibu mpangilio mbaya wa meno ana miaka almost 20-25 je inawezekana gharama zake ni vipi ? mwenye utaalamu inafanyikaje
Ahsante
Ahsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpendwa....Njoo pm na buku 7 niku assist faster
Na mimi naongezea,mtoto wangu wa miaka 13 naye ana hiyo shida, kwa mwenye kujua tafadhali,canine zimeota pembeni juu na chini.Msaada jamani jinsi ya kutibu mpangilio mbaya wa meno ana miaka almost 20-25 je inawezekana gharama zake ni vipi ? mwenye utaalamu inafanyikaje
Ahsante
Huo huo unatosha sanaMpendwa....
Mshahara wa wale wa kijani huo
Tupe picha ya ayo meno alaf ndo tuelewane gharama coz kuna mkao mwingine had uwasiliane na muumbaji mwenyewe aiseeMsaada jamani jinsi ya kutibu mpangilio mbaya wa meno ana miaka almost 20-25 je inawezekana gharama zake ni vipi ? mwenye utaalamu inafanyikaje
Ahsante
Hayajakaa ovyo sana ni kiasi yaan mengine yameingia ndani na mengine yametoka nje so nambie gharamaTupe picha ya ayo meno alaf ndo tuelewane gharama coz kuna mkao mwingine had uwasiliane na muumbaji mwenyewe aisee
Yanatibika. Nenda hospitali yoyote kubwa weka miadi na mganga wa meno. Inaweza kuzidi laki 2 kulingana na hospitali, uwezo wa mganga na kiwango cha uharibifu.Hayajakaa ovyo sana ni kiasi yaan mengine yameingia ndani na mengine yametoka nje so nambie gharama
Njiro maeneo yapiYanatibika. Nenda hospitali yoyote kubwa weka miadi na mganga wa meno. Inaweza kuzidi laki 2 kulingana na hospitali, uwezo wa mganga na kiwango cha uharibifu.
Kama upo Arusha nenda SDA Njiro ni wazuri kwenye meno. Kama upo Moshi hospitali ya Kibosho yupo mganga mzuri.
Baada tu ya 88. Upande wa kushoto. Mkabala na Njiro MallNjiro maeneo yapi
anhaa sawa mkuu..Baada tu ya 88. Upande wa kushoto. Mkabala na Njiro Mall
Mkuu tunaomba mrejesho kama ulifanikiwa hapo SDAanhaa sawa mkuu..
mambo yaliingiliana sikwenda tenaMkuu tunaomba mrejesho kama ulifanikiwa hapo SDA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tupe picha ya ayo meno alaf ndo tuelewane gharama coz kuna mkao mwingine had uwasiliane na muumbaji mwenyewe aisee
dawa ya kuwa na mpangilio mzuri wa meno ni kung'oa baadhi kama wamasaiNa Mimi ndugu yangu Ana miaka mitano,, meno ya mbele hayana mpangilio mzuri
[emoji2] [emoji14] [emoji13] [emoji12]dawa ya kuwa na mpangilio mzuri wa meno ni kung'oa baadhi kama wamasai