Mpangilio mbaya wa meno

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
Msaada jamani jinsi ya kutibu mpangilio mbaya wa meno ana miaka almost 20-25 je inawezekana gharama zake ni vipi ? mwenye utaalamu inafanyikaje
Ahsante
 
Na mimi naongezea,mtoto wangu wa miaka 13 naye ana hiyo shida, kwa mwenye kujua tafadhali,canine zimeota pembeni juu na chini.
 
Msaada jamani jinsi ya kutibu mpangilio mbaya wa meno ana miaka almost 20-25 je inawezekana gharama zake ni vipi ? mwenye utaalamu inafanyikaje
Ahsante
Tupe picha ya ayo meno alaf ndo tuelewane gharama coz kuna mkao mwingine had uwasiliane na muumbaji mwenyewe aisee
 
Hahahaaa ivi yanarekebshikaga ayo???hahahaaa mi ntaka kusafisha meno jaman inawezekana??? LA kat limeoza limeeka rangi nyeus huwa inatoka????
 
Tupe picha ya ayo meno alaf ndo tuelewane gharama coz kuna mkao mwingine had uwasiliane na muumbaji mwenyewe aisee
Hayajakaa ovyo sana ni kiasi yaan mengine yameingia ndani na mengine yametoka nje so nambie gharama
 
Yanatibika. Nenda hospitali yoyote kubwa weka miadi na mganga wa meno. Inaweza kuzidi laki 2 kulingana na hospitali, uwezo wa mganga na kiwango cha uharibifu.

Kama upo Arusha nenda SDA Njiro ni wazuri kwenye meno. Kama upo Moshi hospitali ya Kibosho yupo mganga mzuri.
 
Njiro maeneo yapi
 
Na Mimi ndugu yangu Ana miaka mitano,, meno ya mbele hayana mpangilio mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…