Nijuavyo mm mpangulio wa meno hutegemea na meno yako yalivo...mara nying kama hayako vibaya sana ua kuna kamba inafungwa kweny meno ya aina kam ya chuma kwa muda usiozid miez mitatu na gharama yake ni zaid ya 200k...ila kama yako vbaya then kutahitajika kutoa mengine na mengine kuyafunga....