Mpangilio mpya wa alama pamoja na madaraja ACSEE 2014

Mpangilio mpya wa alama pamoja na madaraja ACSEE 2014

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
877
Jamani mimi nilkua naomba kufahamishwa kuhusu madaraja na alama zitakazotumika kupanga matokeo kwa form six wa mwaka 2014.Je ni alama gan zita range kutoka A,B,C,D,E,S na F.Na nakumbuka hotuba ya katibu mkuu mwaka jana alisema alama "S" imefutwa.je kwenye GS tutatumia alama gani?.
 
Komaa 2 tafuta banda usiwaze S ukifanya fresh zitajipanga
 
Back
Top Bottom