Jamani mimi nilkua naomba kufahamishwa kuhusu madaraja na alama zitakazotumika kupanga matokeo kwa form six wa mwaka 2014.Je ni alama gan zita range kutoka A,B,C,D,E,S na F.Na nakumbuka hotuba ya katibu mkuu mwaka jana alisema alama "S" imefutwa.je kwenye GS tutatumia alama gani?.