Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,877
- 4,522
JF ni chimbo la maguru wa kila kitu. Watu waliochimba na kuchimbua.
Sasa naomba kufahamu maana ya Herufi za gia kwenye magari ya Automatic na matumizi yake. P, R, N, D(1,2,3), L, 2L, M(+,-)
Kwamfano, kuna gari hii aina ya Porsche yenyewe gia yake inafanana kama ilivyo kwenye picha. Sasa naomba kujua Matumizi ya hiyo "M" na "+/-" ni nini hasa.
Na kama kuna msisitizo wowote kuhusu jinsi ya kupandia milima mikali kama Kitonga na Sekenke, kupita kwenye utelezi na kuovertake kwa kutumia gari ya Automatic.
Sent using Jamii Forums mobile app