Jibu mubashara uzi ufungweD ni Drive kama kawaida ila ukisogeza iyo knob kwenye - na + unaenda kwenye mfumo wa manual,maana yake ukipeleka juu kwenye + ni kuongeza gear na ukishusha chini kwenye - ni kupunguza gear.
Kutoka D kuja M knob inakua kati ya + na - so 1 iko wap hapo na 3 iko wap?
Sasa hapo inakuaje manual wakati hamna clutch?! Au ndio manual za kidigitali?!D ni Drive kama kawaida ila ukisogeza iyo knob kwenye - na + unaenda kwenye mfumo wa manual,maana yake ukipeleka juu kwenye + ni kuongeza gear na ukishusha chini kwenye - ni kupunguza gear.
Kutoka D kuja M knob inakua kati ya + na - so 1 iko wap hapo na 3 iko wap?
Nlidhani knom ingekua inaingilia M kwa kuanzia kule - basi ingekua na maana kwamba unapopeleka + unapanda gia moja baada ya nyngine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ook na je, does it mean. Unaweza kupandisha gia zaid ya moja? Mfano ukaenda + tena ++ hadi +++ au ni gia moja tu? Au ukishapanda + itajipandisha yenyewe sitakiwi mm kupandisha manually?Angalia mkunjo wa njia ya gearlever D auto ipo kushoto ukitoka Neutral ukisogeza kulia kuna kama kachember (ingekua gx110 ingekua D3 au OD) kwenya hako kachemba gearlever unaweza kuisogaza mbele -ve ay nyuma +ve kupunguza au kuongeza gia haina clutch kama pikipiki ya HONDA 110
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka D kuja M knob inakua kati ya + na - so 1 iko wap hapo na 3 iko wap?
Nlidhani knom ingekua inaingilia M kwa kuanzia kule - basi ingekua na maana kwamba unapopeleka + unapanda gia moja baada ya nyngine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo inakuaje manual wakati hamna clutch?! Au ndio manual za kidigitali?!
Ook na je, does it mean. Unaweza kupandisha gia zaid ya moja? Mfano ukaenda + tena ++ hadi +++ au ni gia moja tu? Au ukishapanda + itajipandisha yenyewe sitakiwi mm kupandisha manually?
Sent using Jamii Forums mobile app