Mpangilio wa nguo

Mpangilio wa nguo

Trial balance

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
202
Reaction score
160
Kuna sketi nilinunua kwajili ya kufata bei cheap kwaiyo nikajikuta nimenunua sket nying muundo ule ule kasoro rangi hadi naulizwa nilizipendea nini.

Hata mwenyewe sometime naona shida hadi kuvaa japo mashirt ninay meng sana.naon watu kama wananion navaa mtindo ule ule wa skirt sibadilishi.
 
Kama inakustiri, wewe vaa kila saa na si kila siku pia unatikiwa ujiamini na uache kujishtukia
 
Back
Top Bottom