Kuna sketi nilinunua kwajili ya kufata bei cheap kwaiyo nikajikuta nimenunua sket nying muundo ule ule kasoro rangi hadi naulizwa nilizipendea nini.
Hata mwenyewe sometime naona shida hadi kuvaa japo mashirt ninay meng sana.naon watu kama wananion navaa mtindo ule ule wa skirt sibadilishi.