Tume ya uchaguzi inatakiwa iwe na formula ya mpangilio wa majina, either wafanye draw, au wafuata alphabet kama mitihani ya sule namba zinavyobadikwa why uchaguzi kwa jinsi wanavyotaka. Lakini nadhani huwa wanaanza na yule aliyeanza kuchukua form na siku zote ccm ni wa kwanza (Unakumbuka 92 CCM ina cheti cha kuandikishwa No 1 na Komba akatoka na wimbo CCM nambari One)
Hahahaha, ni hoja ya msingi kabisa. Nafikiri hapo jamaa zetu wa kijani watalia kinoma maana hapo ndo itakuwa kuwaaliza kabisa. Bibi yangu, na watu kibao wanaambie tu "wa kwanza ndo huyo huyo" Hahahaha! safi sana mkuu. Ila kazi ipo kuwaengua hapo mwanzo.
Wakuu kama tutakumbuka toka mfumo wa vyama vingi uanze in 1995 kila uchaguzi mgombea uraisi wa CCM picha yake huwa ya kwanza kwenye ile karatasi ya kura, i.e far left.
Je mwaka huu vyama vya upinzani wamewasiliana na tume kuhakikisha kuna mabadiliko as such to have Kikwete sandwiched somewhere in between wagombea wote. I am sure CCM haiko tayari kwa hili hasa ukizingatia upepo hauko on their side. Je si wakati muafaka kwa CHADEMA kukomaa ili Dr. Slaa asiwe sandwiched na kibongobongo kuconfuse the voters?????????????
At last I am happy on this one:
Mpangilio utakuwa kama ifuatavyo:
1: APPT-Maendeleo; Peter Mziray
2: CCM; Jakaya Kikwete
3: CHADEMA; Dk. Willibrod Slaa
4: CUF; Profesa Ibrahim Lipumba
5: NCCR-Mageuzi; Hashim Rungwe
6: TLP; Mutamwega Mugahywa
7: UPDP; Fahmi Dovutwa
For the first time mgombea wa CCM anakuwa sandwitched!