Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hakuna makabati ya viatu yawe na draw Sky? Raha ya nyumba usione chochote hadi uwe unakitumia tu.
Kupanga nyumba ni saana.
Mbona wanapenda rangi neutral. Umasikini ndiyo unatufanya tupende kuweka vitu mpaka nyumba inakuwa na makolokolo.Kupanga nyumba ni saana.
Kuna kitu huwa nakiona tofauti nyumba za wenzetu na za kwetu zina itofauti.
Wao wanapenda rangi rangi saana- Nikira ni nzuri hata kama nyumba ya kawaida.
Ila zinapendeza machoni kweli....Mbona wanapenda rangi neutral. Umasikini ndiyo unatufanya tupende kuweka vitu mpaka nyumba inakuwa na makolokolo.
Nyumbani kwetu mpaka sahani zilizonunuliwa kwenye ubatizo wangu bado zipo
Sasa mama hivi viatu vyangu kauka nikuvae nawekaje kwenye dubwasha kubwa hivyo? Au naweka kila kilichomo chumbani? Maana vinaenea vyote kasoro kitanda🙆🙆🙆🙆
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza na yebo yebo
Lol[emoji23][emoji23]Mbona wanapenda rangi neutral. Umasikini ndiyo unatufanya tupende kuweka vitu mpaka nyumba inakuwa na makolokolo.
Nyumbani kwetu mpaka sahani zilionunuliwa kwenye ubatizo wangu bado zipo
Sasa mama hivi viatu vyangu kauka nikuvae nawekaje kwenye dubwasha kubwa hivyo? Au naweka kila kilichomo chumbani? Maana vinaenea vyote kasoro kitanda[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Lmao[emoji23][emoji23]mwisho wa siku wana jf wakufungulie uzi hujui kuvaaOngeza na yebo yebo
Aah mradi hawatasema ulikosa nguo ya kuvaa kama swala ni hujui kuvaa wakati wewe unajua una wasiwasi gani!