Mpangilio wa viatu ndani ya nyumba

Kupanga nyumba ni saana.

Kuna kitu huwa nakiona tofauti nyumba za wenzetu na za kwetu zina itofauti.

Wao wanapenda rangi rangi saana- Nikira ni nzuri hata kama nyumba ya kawaida.
Mbona wanapenda rangi neutral. Umasikini ndiyo unatufanya tupende kuweka vitu mpaka nyumba inakuwa na makolokolo.
Nyumbani kwetu mpaka sahani zilionunuliwa kwenye ubatizo wangu bado zipo
 
Mbona wanapenda rangi neutral. Umasikini ndiyo unatufanya tupende kuweka vitu mpaka nyumba inakuwa na makolokolo.
Nyumbani kwetu mpaka sahani zilizonunuliwa kwenye ubatizo wangu bado zipo
Ila zinapendeza machoni kweli....

[emoji3][emoji3].
 
Ongeza na yebo yebo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki umenichekesha!!
Ndo yeboyebo zenyewe hizo pea mbili. Sasa nawaza zinajaaje hapo?
 
Mbona wanapenda rangi neutral. Umasikini ndiyo unatufanya tupende kuweka vitu mpaka nyumba inakuwa na makolokolo.
Nyumbani kwetu mpaka sahani zilionunuliwa kwenye ubatizo wangu bado zipo
Lol[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mama hivi viatu vyangu kauka nikuvae nawekaje kwenye dubwasha kubwa hivyo? Au naweka kila kilichomo chumbani? Maana vinaenea vyote kasoro kitanda[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Lmao[emoji23][emoji23]mwisho wa siku wana jf wakufungulie uzi hujui kuvaa
Aah mradi hawatasema ulikosa nguo ya kuvaa kama swala ni hujui kuvaa wakati wewe unajua una wasiwasi gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…