Mpango kabambe wa kuanzisha madarasa Huru..Kujiandaa kwa Ukombozi.

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Wadau, wapenda maendeleo wote!

Kuna mpango maalumu wa kufungua madarasa huru, kila kijiji cha nchi hii, lengo ni kuwaandaa Watanzania wote na ukombozi wa nchi yetu 2015. Tunataka kila mtu aone faida za ukombozi! Waone tofauti ya mwanga na giza..

Amen
 
Utajenga madarasa au kitu gani? Hao walimu watakuwa kina nani? Watalipwa au vipi? Qualifications za wanafunzi na walimu ni zipi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Utajenga madarasa au kitu gani? Hao walimu watakuwa kina nani? Watalipwa au vipi? Qualifications za wanafunzi na walimu ni zipi?

Zoezi hili litakuwa lakujitolea na waelimishaji watatoka sehemu mbalimbali!!
 
Huu mpango uko chini ya mtu binafsi au chini ya chama cha siasa???

ni darasa huru mkuu, ni zoezi linalowahusu wote! hapa chama cha siasa hakihusiki..ndiyo tuko kwenye mchakato wa kuandika proposal kwa NGO's mbalimbali
 
i agree wth you mleta uzi
nakumbuka historia ya brazili enzi za miaka ya 1950's na 1960's waliiitumia hiyo method
kuajili ya ukombozi wa masikini na wajinga ambao walikuwa ni weng~paulo freire pedagogy of oppressed

dhumuni la kupataelimu ni kujikomboa ww mwenyewe na jamiiyako so huu ndo muda wa kutumia elimuyako kuwakomboa watu wa jamii yako ambao wengiwao wanafikra mgando na hawaamini ya kwamba mabadiliko yanawezekana#
 
i agree wth you mleta uzi

Asante mkuu! hili nadhani watu wanaweza kuona haliwezekani, ni kitu kinachotekelezeka..ukombozi bila maarifa haina maana coz kuna wananch watakaobakia kulalama hata baada ya ukombozi 2015
 
Elimu ya ukombozi ni muhimu sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…