Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
"Kama chanjo ya COVID ni suala la hiari, kwanini bila kuchanjwa chanjo siruhusiwi kutoka nje ya Afrika?"
Siku ikitokea idadi kubwa ya wanadamu Afrika wamechanjwa, itakuwa ni ngumu sana kwa mtu ambae hajachanjwa kutoka nchi moja kwenda nyingine Afrika.
"Chanjo sio biashara, ingekuwa ni biashara, mashirika makubwa yasingejitolea kuitoa bure kwa nchi kama Tanzania"
Kuna ajenda kubwa imejificha juu ya chanjo sio ili watu wanufaike bali kuna kitu kikubwa kinaandaliwa.
"Viongozi wengi wakubwa, walioonekana kulipinga hili suala, na kuonekana kutobadili misimamo yao, wengi wamekufa, na baada ya vifo vyao wamewekwa watu dhaifu ili iwe rahisi kuwatongoza kukubaliana na na matakwa ya COVID19."
UTABIRI
Itafika wakati, kwenda shule, hospitali, kumbi za starehe na hata kanisani, ni lazima uwe na chanjo.
NAJUA kuna wajuaji watasema hizi ni conspiracy theories...
Hata siku za Nuhu, watu walikuwa wanakula na kusaza, kuoa na kuolewa.
Asanteni