Wanajukwaa,
Kwa kuwa CCM sasa ipo ktk mkakati wa ndani zaidi kuangalia how to win KWA lazima, nimepata MADHANIA kwamba, kwa kuwa watanzania wanahisi CCM inaweza kuiba kura, wanaweza kuja na mkakati wa kuiba kura na kuzitupia ktk vyama vingine vya upinzania ili ionekane wamegawana kura na CCM wamepita kwa ushindi mwembamba. STUKA
Nimeongea KIJERUMANI hapo
Kama nimekuelewa hivi:confused2:Wanajukwaa,
Kwa kuwa CCM sasa ipo ktk mkakati wa ndani zaidi kuangalia how to win KWA lazima, nimepata MADHANIA kwamba, kwa kuwa watanzania wanahisi CCM inaweza kuiba kura, wanaweza kuja na mkakati wa kuiba kura na kuzitupia ktk vyama vingine vya upinzania ili ionekane wamegawana kura na CCM wamepita kwa ushindi mwembamba. STUKA
Nimeongea KIJERUMANI hapo
Kuna Mtu atakufa kweli nini kama anavyosema mganga wa JK... :confused2:Nimetoa ujumbe wa kinabii hapo shekhe.
kuna mambo mengine si kuyasubiri yatokee. dawa ni kubwabwaja yale yenye kuleta tija ili wenye uwezo wachukue hatua
Ngoja nivunje ukimya kwenye hii thread. Mkuu supporters wa upizani (na labda vyama vya upinzani vyenyewe) haswa mwaka huu wana nishangaza sana. They are so confident kwamba wata shinda lakini at the same time wamesha andaa defense mechanism ya kwamba wata zulumiwa. In short kwao uchaguzi kuwa huru na haki ni wao tu kushindwa ila wakishindwa basi wame fanyiwa foul.
Mkuu kama upinzani ikishinda ita kuwa very obvious na wala CCM hawata weza kuficha. Kwa mfano nasikia apparently polls nyingi zina mpa Dr. Slaa around 65-75%. Tanzania mtu kushinda uraisi ana hitaji 50%+1 kushinda. Sasa kama Dr. Slaa ana pewa chance kubwa hivyo ya kushinda assuming ana pata kura idadi hiyo CCM wata ziibaje na kuzi punguza mpaka ziwe chini ya 50%+1?
Kuna mtu mmoja alisha wahi kusemaga "In Africa elections are only free and fair when the opposition wins". Hii ni demokrasia mkuu. Msi tangaze ushindi wa kishindo lakini at the same time mna kimbilia kusema kura zitaibiwa. Wengine wana jiuliza kama nchi ita kalika CCM ikishindwa mimi najiuliza kama hali ita kuwa tulivu kama upinzani ukishinda.
Well nime fungua mkuu na kwa ufunguzi huu I guarantee thread yako ita pata replies nyingi. Na mimi ngoja nijitetee mapema nisema nasubiria kukaangwa na mashabiki wa raisi mteule Dr. W. Slaa.
UsihofuNgoja nivunje ukimya kwenye hii thread. Mkuu supporters wa upizani (na labda vyama vya upinzani vyenyewe) haswa mwaka huu wana nishangaza sana. They are so confident kwamba wata shinda lakini at the same time wamesha andaa defense mechanism ya kwamba wata zulumiwa. In short kwao uchaguzi kuwa huru na haki ni wao tu kushindwa ila wakishindwa basi wame fanyiwa foul.
Mkuu kama upinzani ikishinda ita kuwa very obvious na wala CCM hawata weza kuficha. Kwa mfano nasikia apparently polls nyingi zina mpa Dr. Slaa around 65-75%. Tanzania mtu kushinda uraisi ana hitaji 50%+1 kushinda. Sasa kama Dr. Slaa ana pewa chance kubwa hivyo ya kushinda assuming ana pata kura idadi hiyo CCM wata ziibaje na kuzi punguza mpaka ziwe chini ya 50%+1?
Kuna mtu mmoja alisha wahi kusemaga "In Africa elections are only free and fair when the opposition wins". Hii ni demokrasia mkuu. Msi tangaze ushindi wa kishindo lakini at the same time mna kimbilia kusema kura zitaibiwa. Wengine wana jiuliza kama nchi ita kalika CCM ikishindwa mimi najiuliza kama hali ita kuwa tulivu kama upinzani ukishinda.
Well nime fungua mkuu na kwa ufunguzi huu I guarantee thread yako ita pata replies nyingi. Na mimi ngoja nijitetee mapema nisema nasubiria kukaangwa na mashabiki wa raisi mteule Dr. W. Slaa.
...kwa hiyo mmewaweka kwenye bajeti yenu?Mmejiandaa kuwalipa mawakala wenu fedha ya uhakika ili wasirubuniwe na CCM?!
Coz nnavyojua mara nyingi kura hubadilishwa usiku wakati wa kuhesabu, kwa wawakilishi wa vyama vya upinzani kupewa hongo halafu matokeo yanabadilishwa.
Mmeandaa fungu la kutosha kuwalipa hao mawakala?!
Siyo siri kwamba hali ya KISIASA ndani ya Chama twawala ni tete. kumekuwa na juhudi na mipango ya kila namna kuhakikisha kwamba jahazi halizami. Dhumuni la thread hii ni kujaribu kuvumbua kama si kuumbua mbinu za mwishoni ambazo CCM wanaweza kuzitumia ili kuponea tundu la sindano. Mbinu hizi zianze kuzungumzwa publicly ili zivunjwe nguvu na zisitumike tena.
Nimehisi kwamba CCM wamepanga jambo kubwa linalokuja mbeleni siku chache kabla ya KURA kubadili hisia na kuwini favor za wananchi. Inawezekana baadhi ya visiki ndani ya chama tawala kung'olewa dakika za mwisho, kupoteza majimbo machache si hasara kama kupoteza urais. Serikali inaweza kuwaweka kikaangoni baadhi ya watendaji waliotikisa headings kwa ufisadi ili ionekane kwamba kuna mapambano endelevu (why now?).
NB
nimesoma kwamba TAKOKURU wanamchunguza Mrema wa SUMATRA na anytime watafikisha mtu mahakamani. (mtaji wa dakika za mwisho)
je unawaza nini? watakuja na mbinu gani?
Mmejiandaa kuwalipa mawakala wenu fedha ya uhakika ili wasirubuniwe na CCM?!
Coz nnavyojua mara nyingi kura hubadilishwa usiku wakati wa kuhesabu, kwa wawakilishi wa vyama vya upinzani kupewa hongo halafu matokeo yanabadilishwa.
Mmeandaa fungu la kutosha kuwalipa hao mawakala?!
Usihofu
mchango wako muhimu sana shekhe. ila kama ninavyosema kwamba uzoefu unaonesha kwamba bila WIZI wa kura hakuna ushindi kwa CCM. hivyo kama wameuza nchi, wanakumbatia MAJAMBAZI, wanaua watu, wanakausha hazina na kadhalika. usitarajie kuwa mtakuwa waungwana kuachia kijiti ilhali mnajua mna kesi ya kujibu ndo maana hata midahalo mmeingia chaka