Elections 2010 MPANGO mbaya dhidi ya kura......


Mwana FA na wana JF, naomba kupata ufafanuzi wa kina kuhusu hili swala la ushindi kama mwana FA alivyosema mshindi lazima apatikana kwa 50% plus lakini nilisha wahi sikia kuwa wabunge wa CCM walibadili katiba na mshindi anaepata kura nyingi ndo mshindi haijalishi kapata zaidi ya 50% au la? kwa mfano CHADEMA 44% CCM 43% CUF 10% OTHER PARTIES 3% then chadema atatangazwa mshindi and vice versa is true bila kujali amevuka nusu ya kura zote zilizopigwa au mimi ndo nimekosee wazee?

Na kuhusu malipo ya mawakala nimesikia kuwa NEC ndo itakuwa na jukumu la kuwalipa mawakala au nime confuse jamani, nisameheni na mnipe taarifa zilizo sahihi, ndugu zangu.

Na je Chadema wamwkwisha andaa mawakala na kuanza kuwapa semina na training kuwajaza itikadi za chama na uzalendo kama wanavyofanya CUF?

Msaada tafadhali mwenye more information.
 
kwa kuwa wamezoea vya kunyonga vya kuching hawawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…