Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

Ninyi maCCCM Mnalazimisha haya maandamano yawe ya chama fulani ila hamtafanikiwa ng'oo!...haya ni maandamano ya umma wala hayana uhusiano wowote na chama chochote!!
 
Mimi kama mtanzania haya yananigusa saana...yaani maisha ya watanzania wenzetu yanaweza kupotea kwa manufaa ya watu wengine....hizi basi za New force mwendo wake ni mkali saana barabarani,itafutwe mbinu ya kuzidhibiti..
......hisia zako siwezi jadili.....
 
mtoa post n chizi,dhamana ktk kesi ya mbowe haimruhusu kusafiri nje,mtadanganyana wenyewe nyie matahira ya uvccm,ufisadi wa bilin 1500 hautawaacha salama wez wakubwa
 
Umeanza vizur lakin mwisho umeharibu Kwa kutaja neno"Magufuli"mjinga wewe
 
Uongo wako umeshtukiwa,, we jamaa hujui hata kudanganya kabisa,,, Ety maandamano haramu. Kama hayakuhusu kaaa kimyaa acha kuwa na tabia za CAG wa CCM..
 
matumizi ya castor oil yathibitiwe.huu uharo sio wa kawaida.apelekwe hospitalini haraka !!
 
Kajifunze uandishi inaonekana unahamasisha maandamano bila ya kujijua
 
Ni wazi mtoa mada ni mwongo wa kutupwa. Hajasema amemwona Marekani jimbo gani wala mji gani. Amesema amemwona Mbowe akiwa na Mange na Watanzania wengine lakini hapo hapo anasema walikuwa na kikao cha siri. Siri gani tena? Tena kaandika eti 'Wakutana Marekani kujadili mipango ya kuivuruga Tanzania' Aliwasikia? Na akasema walikuwa na Mange Kimambi katika mipango yao ya kuhamasisha maandamano' Wewe mtoa mada sema uko hapa hapa Tandale lakini kwa kuwa unawachukia sana Chadema umeamua kumchafua Mbowe tu.
 
Kama mmeshindwa kueleza ziliko Trillion 1.5 mnategemea nini? Tuondolee upuuzi wako hapa
 
Kwa kesi inayomkabili Mbowe na wenzake pasi zao za kusafiria hazijazuiliwa kweli?

Kwa kesi inayomkabili Mbowe na wenzake si wanatakiwa kuripoti kila siku?

Nauliza tuu...


Cc: mahondaw
 
Kwa kesi inayomkabili Mbowe na wenzake pasi zao za kusafiria hazijazuiliwa kweli?

Kwa kesi inayomkabili Mbowe na wenzake si wanatakiwa kuripoti kila siku?

Nauliza tuu...


Cc: mahondaw
Ametoroka!! Sasa sijui atarudi je??
 
Kumbe mfalme wetu anesharuka majuu, basi na mimi siendi kwenye maandamano mpaka nimeona yuko frontline. Haya mambo ya kuchuuzana hayana mashiko tena.
 
Mods wameuwacha huu uongo.na kufuta za maandamano.
26

Swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…