Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

Umefikiria kichwani mwako na kutoa hitimisho, kwa kuwaona pamoja tu!
 
Mkuu
Egnecious
Sehemu uliyokosea ni pale wewe umemuona mbowe marekani, sawa inawezekana kabisa ila hapohapo unajua na mambo ya china yaani siasa za china? basi wewe ni mwanasiasa na sio tu mtanzania anaeishi marekani.
 
Shukuru kwani mnajificha na ID fake zenu. Leo ungeminywa hadi useme unachocheaje hayo maandamano. Huu ujanja ulioutumia kuwahamasisha wa Tz kuwa bado siku 3 mkaandamane tumekugundua. Unajifanya msamaria mwema na mzalendo kumbe unawakumbusha watu kuwa bado siku 3. Mpumbavu sana. Hatutoki basi
 
huyu jamaa atakua Cyprian Musiba bila shaka so ka yupo us tufny nn na hku kesi ya mbowe haimruhusu kusafir pasipo kibali maalum ww punga kweli hebu punga hapo ulipo subir tu na we wakutie dore la tako wajue ka una tez dume
 
Story zenu ni zile zile, tuambiweni kwanza 1.5 trillion zimeenda wapi? Hizi porojo jipigieni wenyewe kwanza mkijifariji
 

Samahani Mkuu usijetoa mfano tena wa maendeleo kwa kumrejea Mwenyekiti Mao ndio viongozi katili kuwahi kutokea duniani baada ya Hitler! Mauaji aliyoyafanya Mao kwa jina la Maendeleo ni Makubwa mno! Aliweza ua Wachina 45 Millioni ndani ya miaka minne!
Umemuona Mbowe wapi? Marekani Jimbo gani? Ameambatana na nani? Alikuwa akijadiliana nini? Tupia picha basi!

Nani anamsikiliza Mange? Nani ataandamana 26.04.2018! Hofu zimewajaa watawala na vibaraka wao bureee!
Wakati mwingine tuwe na staha ya kusema kweli! Kwa mwandiko wako huu wewe ni mzalendo kabisa! Hupendi ona Nchi inaingia kwenye machafuko! lakini iwapo ni kweli unaishi marekani( Si kweli wewe huishi marekani) Ungalikuwa unaishi marekani usingeandika kwa mwandiko wa Kiafrika Tawala (Woga).

Asante Mkuu! Kila mtu anaitakia TZ yetu mema! Lakini sio kujazana woga.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mshana Jr bana ndo nini tena kumuumbua mwenzio hivyo? Anyway jamaa ana zero knowledge ya kuconnect Dots. Bora hata angesema Mbowe yupo Hai Jimboni kwake(katoroka/katoka Dar) kuhamasisha maandamano. Huko US anafikaje bila passport?!
 
Kama ndani ya CCM na Serikalini tuna IQ zilizothibitishwa ' Kiupumbavu ' duniani / ulimwenguni kama hii ya Egnecious basi nadhani aliyeturoga Watanzania alitupatia mno na anastahili pongezi / kongole kubwa tu.
 
hmm,sidhani kama kuna kweli hapo...!!!
 
wacha uongo mimi niko marekani hakuna kitu hicho.
 

Kama uliwaona wakiwa wote halafu ukashindwa hata kupiga picha kwa kutumia smart phone yako..basi bandiko lako hili ni la kufikirika tu na halina uhalisia wowote
 
Ccm ndio abari wanazo taka yaani wanabowa ila ukiwakosoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…